Ikumbukwe kuwa wanawake wanatofautiana katika swala zima la urefu wa mzunguko wao wa hedhi (menstral cycle)yaani idadi ya siku kati ya period ya kwanza hadi ile ya pili inayofuatia.Kundi kubwa la wanawake wanaangukia (fall)kwenye kati ya siku 22 hadi 35 .Japo walio kawaida(normal)wana siku 28.Vilevile kuna wengine huwa na mzunguko (menstral cycle)mbili,yaani fupi na ndefu.Hivyo walio na mzunguko (menstral cycle)fupi mathalani wale wenye siku 22,huwa vilevile wana kipindi kifupi sana cha kutokwa na damu.(period),yaani damu inaweza kukatika ndani ya siku mbili tu!Na wale wenye siku 35 au zaidi huwa wana kipindi kirefu sana cha kutokwa na damu (period) ambapo wengine huwachukua hadi siku 8.Hivyo basi kama wewe ni mwanaume inakubidi umuelewe vizuri mwenzi wako juu ya hayo hapo juu ili ikusaidie kujua(kui-pin-point)siku ya mimba(fertile day).
Swali:Je siku ya mimba ni ipi?
Watu wengi na hata baadhi ya wanasayansi wanafikiri siku ya mimba ni ile siku ya 14 baada ya dalili za kwanza za damu ya hedhi(period).Wao huhesabu kuanzia siku ile damu ilipoanza kutoka hadi siku ya 14!Utaratibu huu umethibitisha kushindwa (prove failure).Hii ni kwa sababu wanawake wana mizunguko (menstral cycle)zinazotofautiana kwa urefu hivyo basi jibu sahihi ni kama ifuatavyo hapa chini;
1.Kwanza inabidi ujue kama mwenzi wako ukiwa ni mwanaume ana mzunguko (menstral cycle)ipi fupi au ndefu,au zote mbili?
2.Baada ya kujua urefu wa mzunguko (menstral cycle)ya mwenzi wako chagua/teua(pin point)siku ile ya mwisho halafu uhesabu kurudi nyuma(backwards)siku 15 kuanzia siku ile ya mwisho.Siku hii ya 15 kuanzia mwisho ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote.Ukishafahamu siku ya 15 kutoka siku ya mwisho kutakuwezesha kujua siku ya kupata ujauzito au kukwepa kupata mimba(once you know the 15th day'from the last one,then you can manoeuvre whatever you want to get her pregnant or to avoid pregnancy).
Kwa kutumia utaratibu huo wa kuweka alama utagundua kuwa wanawake wote katika mizunguko yao hutumia njia za zamani ambazo huwafaa tu wale wenye mzunguko wa siku 28(with this new aproach of pin pointing the fertile day,you will find that all women menstral cycles are covered,whereas the old way of counting fits only to women whose menstral cycles are 28 days).
Kwa maelezo hayo sasa nitoe mifano hai ya jinsi ya kutumia kalenda kwa faida ya wakina mama na wapenzi wao ili waweze kutambua siku nzuri kwa mimba kutungwa.Njia hizi huwafaa tu wale wasio na matatizo katika mfumo wao wa uzazi.
1.Kwa mwanamke mwenye mzunguko (menstral cycle)ya siku 22 inabidi afanye kama ifuatavyo;kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za mzunguko (menstration cycle) kama ifuatavyo hapa chini:
1st,2nd,3rd,4th,5th,6th,7th,8th,9th,10th,11th,12th,13th,14th,15th,16th,17th,18th,19th,20th,21st,22nd.Baada ya kuandaa kalenda hii hesabu kuanzia ile siku ya 22 kurudi nyuma mpaka ufike siku ya 15.Utaona kuwa siku ya 15 inaangukia kwenye siku ya 8(8th day)ya kalenda yake.Hivyo siku ya 8(8th day)ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye ana mzunguko (menstration cycle)ya siku 22.Akumbuke kwamba siku ya kwanza (1st day) ndiyo siku anayoanza kuona siku zake (ku-bleed).
2.Kama mwanamke ana mzunguko(menstration cycle)ya siku 28 inabidi afanye kama ifuatavyo:kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za mzunguko(mensration cycle)kama ifuatavyo:
1st,2nd,3rd,4th,5th,6th,7th,8th,9th,10th,11th,12th,13th,14th15th,16th,17th,18th,19th,20th,21st,22nd23rd,24th,25th,26th,27th,28th.
Baaada ya kumaliza kuandaa kalenda hesabu kuanzia ile siku ya 28(28th day)kurudi nyuma mpaka ufikishe siku ya 15 utaona kuwa siku ya 15 inaangukia kwenye (14th day) ambayo ndiyo itakuwa siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye ana mzunguko(menstration cycle)ya siku 28.Akumbuke kuwa siku ya kwanza(1st day)ndiyo sku anayo anza kuona siku zake(ku-bleed).
3.Kama mwanamke ana mzunguko(menstration cycle) ya siku 35 inabidi afanye kama ifuatavyo:Kwanza inabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za mzunguko(menstration cycle)kama hapa chini:
1st,2nd,3rd,4th,5th,6th,7th,8th,9th,10th,11th,12th,13th,14th,15th,16th,17th,18th,19th,20th,21st,22nd,23rd,24th,25th,26th,27th,28th,29th,30th,31st,32nd,33rd,34th,35th.
Kisha ahesabu kuanzia siku ya 35 (35th day) kurudi nyuma hadi siku ya 15.Hapa ataona kuwa siku ya 15 itaangukia kwenye siku ya 21 (21st day).Hii inamaana kwamba siku ya 21(21st day) ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye ana mzunguko(mensration cycle) ya siku 35.Ikumbukwe kwamba siku ya kwanza (1st day) ndiyo siku anayoanza kuona siku zake.
4.Kama mwanamke ana mzunguko usio wa kawaida(abnormal menstration cycle)ya siku 15,kuna uwezekano wa kutopata mimba kabisa kama itakavyooneshwa hapa chini:
Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za mzunguko (menstration cycle)yake mwenyewe kama kawaida
1st,2nd,3rd,4th,5th,6th,7th,8th,9th,10th,11th,12th,13th,14th,15th.
Kisha ahesabu kuanzia ile siku ya 15 (15th day)kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15.Ataona kuwa siku ya 15 inaangukia kwenye siku ya kwanza(1st day).Inamaana kwamba ,siku ya kwanza (1st day)ya mzunguko(menstration cycle)ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote mwenye mzunguko (menstration cycle)ya siku 15.Akumbuke kuwa siku ya kwanza(1st day)ndiyo siku anayoanza kuona siku zake(ku-bleed)na ndiyo siku hiyo hiyo ambayo mwanamke wa kundi hili anaweza kupata mimba.
Hii inamaana kwamba,siku ambayo linaharibika lile yai la upande mmoja ndiyo siku hiyo hiyo yai la upande wa pili linapevuka tayari kwa kurutubishwa.Mwanamke wa aina hii anaweza kupata mimba tu kama atakutana na mwanaume siku ile anayoanza kuona siku zake(ku-bleed).Kwani ni siku ambayo yai moja linaanza kuharibika na ndiyo siku hiyo hiyo ambayo yai la upande wa pili linakuwa tayari kurutubishwa.Wanawake wa kundi hili la nne ukiwauliza vizuri watakiri kwamba hawajawahi kuona au kuhisi ule ute mweupe ambao wenzao huwa wanaupata siku ile yai linapokuwa tayari kwa kurutubishwa,kwani ute wa mwanamke wa kundi hili la nne huwa unachanganyikana na damu kwa vile unatoka siku ileile wanapoanza siku zao (ku-bleed).
Pia wanawake wa kundi hili huwa wanatokwa na kiasi kidogo sana cha damu na hukatika ndani ya siku 1 au 2 tu.Jambo la kushangaza ni kwamba, wanawake wengi hawana elimu (knowledge)ya kutosha juu ya swala hili la siku ya mimba;hasa wale ambao wana mzunguko(menstration cycle)inayobadilika badilika!Wao hushtukia tu wameanza ku -bleed na ndiyo maana hawawezi hata kupanga(ku-plan)kutopata mimba.Hawana ujanja kabisa na ndiyo sababu wengi wanatumia sindano na njia zingine za kuzuia mimba ambazo mwisho wa siku huwaletea matatizo ya uzazi kwani nyingi huziba(block)njia ya uzazi.Nimewaona wengi wenye matatizo ya uzazi uliosababishwa na njia hizi za uzazi wa mpango.Wengine hulazimika kwenda hospitalini kuzibuliwa ili wapate mimba jambo ambalo linahatarisha afya zao kama uzibuaji huo hautafanywa kwa uangalifu wa hali ya juu.
Katika kituo chetu cha LMTM CENTRE tunazo dawa bora kabisa kwa tiba ya njia ya uzazi(lmtm-s32/j)ambayo hutibu matatizo yote ya uzazi pamoja na magonjwa ya njia za uzazi na hayana kemikali.Tunayo pia dawa ya asili ya uzazi wa mpango ambayo ukiitumia kwa kufuata maelekezo itakusaidia kupanga lini upate mimba na lini usipate mimba.
Kwa maelezo haya ni matumaini yetu kuwa sasa mmepata elimu ya lini siku nzuri ya kupata mimba na kuwaondolea mkanganyiko unaowasumbua wanawake wengi.
Kwa wale wenye maswali,au wanaohitaji ushauri,tiba wanaweza kufika katika kituo chetu cha LMTM CENTRE kilichopo ILALA MCHIKICHINI mtaa wa USANGU mkabala na ofisi za mkuu wa mkoa wa Dar es salaam.
fax2email+255736601119,
lmtmherbal.blogspot.com
NB:Kwa wale wanaopenda kuwasiliana kwa njia ya sms, fungua sehemu ya ujumbe mfupi katika simu yako kisha andika neno lmtm acha nafasi,andika swali lako na kisha utume kwenda namba15522 na swali lako litajibiwa.Waweza pia kutuma maswali na kulike katika page yetu www.facebook.com/lmtmherbalcentre.
Tunapatikana pia kwenye fb,google,youtube na tweeter
USISUMBUKE LMTM IPO KWA AJILI YAKO
Habari zenu, nipo hapa kushuhudia, jinsi nilivyo kuwa mwanamitindo tajiri na maarufu duniani mwenye mafanikio makubwa, nimekuwa nikipitia magumu miaka nenda rudi, tangu nilipofiwa na wazazi wangu wote wawili, sikuweza kuendelea zaidi na mshikaji wangu kutokana na Suluhu la kifedha basi, hadi miezi mitano iliyopita, nilimaanisha rafiki ambaye aliniingiza kwenye familia ya freemason, mwanzoni niliogopa kujiunga, kwa sababu nimesoma habari nyingi za uongo kwenye mtandao kuhusu familia ya freemasonry, na ambayo sasa ninaijua. hiyo sio kweli, zote zilikuwa habari za uongo, na napenda kutumia fursa hii kusema asante sana kwa familia ya freemason, ndugu wote wa familia hii, nawashukuru sana kwa support mnayonipa, na kwa waliodhani familia ya freemasonry ni mbaya, haijui sheria na kanuni za huyu jamaa, tafadhali acha kuhukumu ulikuwa hujui, na acha kusambaza habari za uongo, kama una nia ya kuwa mwanachama ufurahie. faida za familia ya freemasonry, contact off anuani icial hapa chini kwa taarifa zaidi.
JibuFutaWhatsApp; +31 687 329 133
Barua pepe; info.masonic.oregon@email.cz
Barua pepe; info.masonic.oregon@gmail.com
Au soma zaidi kuhusu sisi kwenye kiungo cha ukurasa wa Facebook; https://web.facebook.com/infomasonicoregon