1.VVU NI NINI
2.UKIMWI NI NINI
Kwa kuanzia tuangalie
1.VVU -Ni kifupi cha neno ''VIRUSI VYA UKIMWI'' ni virusi au vijidudu vinavyosababisha kudhoofika kwa mfumo wa kinga ya mwili wa binadamu.Aina hii ya virusi husababisha ugonjwa kwa binadamu tu.Hudhoofisha mfumo wa kinga ambao kwa kawaida humlinda mtu dhidi ya maradhi,virusi kama vilivyo virusi vingine.VVU ni viini au vijidudu vidogo ambavyo vinaingia kwenye vituo vilivyo hai na kutumia viumbe hai kujinakili.VVU husababisha UKIMWI (yaani ukosefu wa kinga mwilini)
2.UKIMWI-Ni mkusanyiko wa magonjwa mbalimbali ambayo hutokea wakati mfumo wa kinga ya mtu unapodhoofishwa na VIRUSI VYA UKIMWI.Kwa maelezo haya UKIMWI ambao ni mkusanyiko wa maradhi mbalimbali(magonjwa nyemelezi)yanatibika.Watu wengi wanashindwa kutofautisha UKIMWI na VIRUSI VYA UKIMWI.Watu wengi wenye VVU hujisikia wenye afya nzuri kwa muda wa miaka michache baada ya maambukizo,baadea huwa wagonjwa wa ukimwi.Virusi ni viumbe vidogo sana, vidogo mno zaidi bakteria wanaosababisha kifua kikuu au kipindupindu.Viini au vijidudu hivi ambavyo ni vya kawaida na ambavyo kila mmoja wetu hukabiliana au huambukizwa mara kwa mara katika maisha yetu ya kila siku.Virusi husababisha mafua,ugonjwa wa kupooza(polio),surua,machumbwichumbwi na flu.Virusi hivi huweza kuenea kwa kukohoa,chafya au kugusana.VVU ni tofauti.Pamoja na kwamba ni virusi lakini havienezwi kwa njia hizo tulizozitaja.VVU vyaweza kuenea tu kwa ngono,kuongezewa damu yenye VVU,sindano na vifaa vingine vyenye ncha kali na toka kwa mama kwenda kwa mtoto akiwa tumboni,wakati wa kujifungua na wakati wa kunyonyesha.
Ni vigumu kutibu VVU kwa madawa lakini ukimwi ambao ni mkusanyiko wa maradhi mbalimbali yatokanayo na kudhoofika kwa kinga ya mwili kulikosababishwa na vvu unatibika.Ukimwi kwa tafsiri nyingine ni magonjwa nyemelezi.Dawa zinazowaua bakteria kama vile penislini au tetracycline haziuwi virusi vya ukimwi.VVU ni virusi maalum vinavyojulikana kwa jina la RITROVIRUS ambavyo hujinakili vyenyewe kwa njia mbalimbali kuliko wale wa aina nyingine,kutokana na sababu hiyo ni vigumu sana kutibu virusi tofauti na ukimwi.Njia bora ya kuzuia kuenea kwa virusi na maradhi wanayosababisha kwa watu ni kuepuka maambukizo.Unaweza kuzuia kuenea kwa surua kwa kutumia chanjo,lakini vvu ni tofauti,kwa kubadili mwenendo tunaweza kuzuia kuenea kwa VVU.Mfano ni kunawa mikono baada ya kutoka chooni kunaweza kupunguza uwezekano wako wa kupata maradhi ya kuhara.Kubadili mwenendo pia kunaweza kuzuia kuenea kwa VVU.
Kuna aina mbili ya VVU:VVU-1 na VVU-2.Kama ilivyo kwa dada na kaka wanayo mambo wanayofanana na wanayotofautiana.VVU-1 hupatikana duniani kote wakati VVU-2 hupatikana afrika ya magharibi.Kwavile kuenea kwa virusi vyote hivi kunaweza kuzuiwa kwa njia moja ,tujadili kama VVU -2.
Kinga maana yake ni ulinzi na usalama.Mfumo wa kinga ya mwili hufanya kazi ya kuondoa viini au vidudu vinavyoshambulia mwili;mfano,virusi kama vile vinavyosababisha polio(ugonjwa wa kupooza),bakteria kama wale wanaosababisha TB viini au vimelea kama vile vinavyosababisha malaria na fangasi vinavyosababisha ukungu.Viini au vijiduu au vimelea hivi huwaingia watu na kusababisha maradhi na kifo.Mfumo wa kinga umeundwa na seli mbalimbali.Seli ni sehemu ndogo sana ya mwili wa binadamu ambayo huwezi kuziona bila msaada wa darubini.Mwili umeundwa na mabilioni ya seli.Kila seli aina fulani inajukumu maalum,baadhi ya seli huunda mifupa,nyingine huunda misuli,na nyingine mfumo wa kinga.
Seli za mfumo wa kinga kama ilivyo kwa seli nyingine zina kiini au kituo cha katikati kiitwacho NUKLIASI.Nukliasi au kituo cha kati au makao makuu ya seli ina aina fulani ya jini iitwayo DNA.Nukliasi hufanya kazi ya kuongoza au kuratibu shughuli zozote ndani ya seli.Hutoa taarifa kwa seli wakati muafaka wa kutengeneza mmiminiko unaohitajika wakati wa kutengeneza seli mpya.DNA ndani ya seli hutumia sehemu tofauti mbalimbali zilizopo kwenye DNA kuratibu shughuli mbalimbali.Kama mfumo wako wa kinga ukikabiliana na kitu kilichopo nje ya mwili inatengeneza vitu vidogovidogo fulani vilivyotengenezwa na protini vinavyoitwa ANTIBODI(askari).Hivi hujishikiza kwenye kitu kilichoingia mwilini na kuusaidia mfumo wa kinga kwa ujumla kuvitafuta na kuviharibu.Hii inatoa nafasi kwa mwili kuepuka maradhi au kupona kama alikuwa ameugua.
Protini maalum iitwayo CD4 huweka alama nje ya baadhi ya seli ya mfumo wa kinga na kutofautisha na aina nyingine ya seli za kinga.Alama ya CD4 ni kama michirizi au mistari ya aina fulani inayotofautisha kama ile inayotofautisha pundamilia na punda punda kihongwe.Seli za CD4 pia huitwa msaidizi(seli za Tsaidizi)kwa sababu mwili huzitumia kutambua na kulinda dhidi ya wavamizi kama vile virusi na bakteria.Hata hivyo pamoja na juhudi zote hizo hatimae virusi hufanikiwa kuingia kwenye seli nyeupe zenye tabaka la CD4 juu yake.Kwa maana nyingine seli za CD4 hushambuliwa na vurusi hivyo vya VVU,ambazo zinajaribu kuzizuia zisilete madhara.Hili ni tatizo kubwa kwasababu mwili huhitaji seli aina ya CD4 ili kujilinda zenyewe dhidi ya maradhi.Hii ndio sababu inayofanya wenye VVU waugue maradhi ambayo kwa kawaida mtu asiye na VVU hupambana nayo na kuyatokomeza.Viini vya bakteria,fangasi,virusi vingine na vimelea vinavyotegemea viumbe vingine hutumia mwanya huo kuingia kwenye mwili wa mtu ambaye mfumo wake wa kinga umedhoofika na kusababisha maradhi yanayojulikana kwa jina la;MAGONJWA NYEMELEZI(UKIMWI)na ndio yanayowauwa wenye VVU.
VVU vinapoingia ndani ya mwili hutafuta seli za CD4.Vikishafanikiwa kuvipata seli za CD4 vinajishikiza kwenye seli na kuingia ndani.Mara vinapokuwa ndani VVU hukutana na DNA ndani ya nukliasi ya seli.Hapo huanza kujinakili vyenyewe kwa kutumia nyenzo za kujinakili zilizopo katika DNA ya seli,halafu nakala hizo hujificha katika DNA ya seli ya CD4.Ukiangalia kwa darubini utaona DNA ya seli kuwa ya kawaida ingawaje imechanganyika na DNA ya VVU.Mara VVU vinapofaulu kujificha kwenye DNA ya seli,VVU vinaweza kufanya mojawapo ya mambo mawili -kirusi kinaweza kukaa kimya ndani ya seli hai au kinaweza kubadili DNA ya seli na kutumia uwezo wa seli kutengeneza nakala yake yenyewe.Hujinakili nakala kwa kutumia aina fulani ya ute (protini).Kama vikianza kuongezeka huweza kutengeneza maelfu ya virusi vipya.Virusi vipya huacha seli na kuingia ndani ya seli nyingine ya CD4 na mambo tuliyoyaeleza hapo juu hujirudia tena.Kama DNA ya VVU ikikaa ndani ya DNA ya seli hakuna njia nyingine ambayo mwili unaweza kutumia kutenganisha na kutokomeza.Virusi huwa vinajificha vizuri kiasi ambacho hata mwili unashindwa kutambua kwamba kuna virusi hapa. Uwezo huu wa kujificha ndio unaowawezesha kuenea mwilini. Pamoja na uwezo wa kujinakili vyenyewe ndani ya seli iliyoathirika virusi vina njia nyingine ya kuzaliana.Seli inapoamua kutengeneza seli nyingineinatengeneza DNA ya VVU yake yenyewe.Hivyo kila mara seli mpya inapotengenezwa,VVU navyo hutengenezwa.Kwa sababu hiyo siyo rahisi kuelezea tofauti iliyopo kati ya DNA ya VVU na DNA ya seli ya mwili wa binadamu na hakuna dawa iliyopo ya kuweza kuteketeza virusi vyote vilivyopo mwilini.
Watu hutengeneza dawa za maradhi au magonjwa yanayowatokea watu waliokwisha ambukizwa VVU baada ya mifumo yao ya kinga kudhoofika.Pia wanajishughulisha na njia zitakazosaidia VVU visiongezeke kwa hali hiyo tutaeleza tu dawa zinazotumika kutibu magonjwa nyemelezi(ukimwi)na sio VVU.kuna njia nne zinazotumika kupambana na VVU inapoingia mwilini ,wakatiVVU vinapoingia ndani ya seli,wakati VVU vinapokuwa sehemu ya DNA ya seli,wakati VVU inapotengeneza nakala nyingine kwa ajili ya kuingia seli nyingine.Kuna aina mbili tu za dawa zinazokabiliana na VVU ''Reverse transcriptase inhibitors''mfano AZT,DDI DDC,Nevirapine na D4T ambazo huzuia kirusi cha UKIMWI kuwa sehemu ya DNA ya seli.Aina nyingine ya dawa ni protease inhibitor kama vile saquinavir,indinavir na ritonavir ambazo huzuia VVU kujikusanya pamoja na kujinakili kwa kuchelewesha uwezo wa kirusi kutengeneza nakala yake yenyewe.Dawa hizi mara nyingi huwawezesha waathirika wa VVU kuishi kwa muda mrefu pamoja na kwamba dawa hizi haziwezi kuondoa kabisa VVU au kumponya muathirika wa VVU.VVU vinakuwa sehemu ya mwili wa mtu na hakuna njia ya kutokomeza virusi vyote mwilini.Hii inamaana kwamba mtumiaji lazima atumie dawa hizi maisha yake yote ambalo ni tatizo jingine.Mtu anayetumia dawa hizi kwa mtiririko mzuri inafikia hatua ambayo dawa haziwezi kumsaidia tena kwa sababu VVU vimeshakuwa sugu.Lingine ni kwamba mtu anayezitumia dawa hizi anaweza kupata madhara yanayotokana na dawa hizi.Kwa kuzingatia maelezo hayo ndiyo maana LMTM CENTRE inakuletea dawa ya LMTM-LE/37/VIH inayotibu pamoja na ukimwi(magonjwa nyemelezi)dawa hii pia husaidia kuongeza CD4,kuondoa sumu zozote mwilini inayosababishwa na dawa mbalimbali na vyakula mbalimbali na haina madhara kwa mtumiaji anayetumia ARV'S.Badala yake humsaidia muathirika kuondoa sumu zinazoachwa na dawa za ARV'S mwilini.Dawa hii haina madhara kwa namna yoyote ile ukizingatia inatokana na mchanganyiko wa mimea ya asili iliyoandaliwa kwa njia za asili.Natumai makala haya yamefafanua vizuri VVU ni nini na UKIMWI ni nini na kwamba ukimwi unatibika wakati VVU haitibiki kama tulivyoeleza kwa undani.Soma makala zilizopita na zinazoendelea za LMTM.
Kwa maoni,ushauri,tiba,na maswali
fax2email+255736601119
www.facebook.com/losila maasai
lmtmherbal.blogspot.com
lmtmherbal@rocketmail.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni