Tafuta katika Blogu Hii

Jumatano, 27 Novemba 2013

IJUE HOMA YA INI(HEPATITIS B),JE UNAJUA INAUA WATU WENGI SAWA NA UGONJWA WA MALARIA DUNIANI ?


Hepatitis B(homa ya ini/selimundu)ni mojawapo ya magonjwa yaliyo katika kundi la magonjwa ya zinaa(STD).Baadhi ya magonjwa mengine yaliyo katika kundi hili ni;
1.Kisonono(gonorrhoea/gono)
2.Chlamydia
3.Kaswende(syphillis)
4.Human papilloma virus(HPV)
5.HIV/AIDS(ukimwi/upungufu wa kinga mwilini)
6.Hepatitis A,B,C
7.Herpes virus(malengelenge sehemu za siri/HSV)
8.Trichomoniasis
9.Bacteria vaginosis
10.Public lice(chawa kwenye nywele za kinena)
11.Chancroid nk.
Magonjwa mengi ya zinaa yanatibika lakini kuna baadhi ambayo hayana tiba ya uhakika kama HPV,hepatitisB na C na HIV.Mengine yameanza kuwa sugu kutokana na matumizi ya dawa za antibiotics bila mpangilio.Magonjwa hayo ni kama gono(gonorrhea),kaswende n.k.
Homa hii ya Hepatitis B inapewa uzito mdogo sana licha ya kuwa ni hatari kubwa.Hata hivyo wapo wengine ambao hawaufahamu ugonjwa huu.Kwa wanaoujua wanakiri kuwa ugonjwa huu unamadhara makubwa pengine kuliko saratani na ukimwi.Wataalam wanaeleza kuwa Hepatitis B(homa ya ini) ni ugonjwa unaoambukizwa kwa urahisi wenye madhara makubwa na uwezo wa kuambukizwa kwa wepesi kuliko ukimwi.
Kitaalam ugonjwa huu husababishwa na virus vya Hepatitis B(HBV)ambayo huathiri mfumo wa utoaji wa sumu mwilini.Robo tatu ya watu ulimwenguni yasemekana wameathiriwa kwa muda na homa ya ini na wengine milioni 350 wameathirika moja kwa moja.Takwimu zinaonyesha kuwa homa ya ini huua watu 600,000 kila mwaka sehemu mbalimbali ambayo ni sawa na idadi ya wanaokufa kutokana na malaria.Maradhi haya ya ini yanaelezwa kuwa yanaweza kusababishwa na kunywa kileo kupita kiasi au sumu inapoingia mwilini.Kutokana/kudhihirisha kuwa ugonjwa huu ni wa hatari sheria zimewekwa katika nchi mbalimbali ambazo zinamtaka kila raia mgeni anayetaka kuingia katika nchi husika kupata chanjo ya ugonjwa huu ili kuepusha maambikizi na kila anaye chanjwa hupewa kadi maalum ili kuthibitisha kuwa amechanjwa.Hatari kubwa ya ugonjwa huu ni namna ya uambukizaji wake ambapo unaposhika damu au majimaji ya mwili ikiwemo mbegu za uzazi unaweza kuambukizwa.
Wataalam wanaeleza ubaya wake kuwa unaweza kuambukizwa kwa kufanya ngono,kushika majimaji ya mwili wa mtu aliyeathirika ikiwa ni pamoja na damu,mate,machozi na mkojo.Shirika la afya duniani(WHO) linaeleza kuwa kirusi cha homa ya ini kinauwezo wa kuishi nje ya mwili wa binadamu kwa siku 7 na kwa wakati huo kirusi hiki kinaweza kusababisha maambukizi iwapo mtu hajapata chanjo.Watanzania wengi bila kujua wamekuwa wakiugua maradhi mbalimbali yanayosababishwa na homa ya ini bila kufahamu.Homa ya ini aina ya B inaweza kuua kimya kimya bila kuonyesha dalili zozote.
DALILI ZA UGONJWA WA HEPATITIS B/ HOMA YA INI
Dalili za ugonjwa huu huchukua muda mrefu kuonekana na zikionekana mgonjwa anakuwa tayari amekwisha athirika sana.Baadhi ya dalili hizo ni;
1.Uchovu/kuchoka kupita kiasi
2.Kichefuchefu
3.Mwili kudhoofika
4.Homa kali
5.Kukosa hamu ya kula
6.Kupungua uzito
7.Maumivu makali ya tumbo upande wa ini
8.Macho na ngozi huwa ya njano
9.Mkojo kuwa wenye rangi ya njano iliyokolea sana
10.Kuvimba tumbo katika hatua za mwisho
11.Kutapika
12.Kuharisha au kupata maumivu sehemu fulani ya tumbo.
NAMNA HOMA YA INI INAVYO AMBUKIZWA
1.Kujamiiana bila kinga.
2.Kunyonyana ndimi
3.Mama mwenye ugonjwa kumuambukiza mtoto wakati wa kujifungua
4.Kuchangia damu isiyo salama
5.Kuchangia vitu vyenye ncha kali kama;sindano,wembe n.k
6.Kuchangia miswaki
7.Majimaji katika mwili wa binadamu pia ni chanzo cha maambukizi
Ugonjwa usipotibiwa hutengeneza uvimbe katika ini na kusababisha kansa ya ini na baadae kifo.
NAMNA YA KUJIKINGA NI;
1.Chanjo
2.Kutumia kinga wakati wa kujamiiana au kuacha kabisa
3.Kuacha kuchangia vitu vya ncha kali kama sindano na wembe nk
4.Kuwa na mpenzi mmoja muaminifu
5.Kuacha kuchangia damu isiyo salama
6.Kuacha kunyonyana ndimi nk.
TIBA YA UGONJWA WA HOMA YA INI
1.Ugonjwa huu hauna tiba japo mgonjwa akiwahi hospitali atapatiwa dawa za kupambana na virusi hivyo ili kuvipunguza nguvu za kushambulia ini
2.Kupandikiza ini ambapo ini lililo athirika huondolewa na kuwekwa ini lingine japo ni vigumu kupata ini salama.
3.Wagonjwa waache kutumia pombe,madawa ya kulevya na vitu vingine vinavyochosha ini.
Ieleweke kwamba watu wengi wanaendelea kuambukizwa kwa kuwekewa damu yenye virusi hivyo hasa katika nchi ambazo hazina vifaa bora vya kuchunguza virusi hivyo katika damu.Virusi vya HBV vinauwezo mkubwa zaidi wa kuambukiza kulinganisha na magonjwa kama ya ukimwi na kaswende pamoja na magonjwa mengine ya zinaa.Hata kiasi kidogo cha damu yenye virusi hivyo kama ile inayobaki kwenye wembe inaweza kupitisha virusi hivyo na tone la damu iliyokauka kwa juma moja au zaidi inaweza kumuambukiza mtu virusi hivyo.
MADHARA YA HOMA YA INI;
Madhara mengi huweza kumkumba mtu aliyepata maambukizi ya homa ya ini kwa mfano;
1.Shinikizo la damu
2.Kuathirika ubongo
3.Kupooza sehemu za mwili n.k.
Katika kituo chetu cha LMTM HERBAL CENTRE ugonjwa huu ukiwa katika hatua za awali kabisa ambapo mgonjwa bado ana uwezo wa kula,ugonjwa huu unatibika kwa kutumia dawa aina ya LMTM-S32/J ambayo ni mchanganyiko wa miti ambayo hutumika kwa kunywa kulingana na ushauri wa daktari
USHAURI;
Tujenge tabia ya kukinga kwa chanjo,lishe nk badala ya kutibu maradhi mbalimbali kwani tiba ni gharama.Vilevile tuzingatie shauri mbalimbali tunazopewa na wataalam wa afya.

KWA USHAURI,TIBA NI LMTM CENTRE NDIO INAYOJALI AFYA YAKO.

Jumanne, 26 Novemba 2013

MADAWA MAPYA YA LMTM HERBAL CENTRE




Haya yafuatayo hapa chini ni baadhi ya madawa mapya yaliyopo katika kituo chetu cha LMTM HERBAL CENTRE yanayotibu magonjwa mbalimbali kulingana na tafiti mbalimbali;
1.LMTM-UK/03-dawa hii ni mchanganyiko wa mimea yenye uwezo mkubwa wa kutibu maradhi yafuatayo;
                                     a.kikojozi
                                      b.kupunguza uzito
                                      c.kuzuia mimba kutoka
Dawa hii ni ya kunywa kwa tiba ya magonjwa yote yaliyotajwa hapo juu kwa kufuata maelekezo na ushauri wa daktari kulingana na ugonjwa unaotaka kuutibu.
2.OLKARIA-Huu ni udongo unaotumiwa sana na jamii ya maa kwa ajili ya kuremba ngozi na kuondoa madoa katika ngozi.Pamoja na matumizi hayo katika tafiti zilizofanywa na kituo chetu tumegundua kuwa udongo huu una uwezo mkubwa wa kutibu maradhi kama ifuatavyo;.
                                       a.vidonda vya surua
                                        b.tetekuwanga
                                        c.kuharisha na kuhara damu
                                        d.kuondoa makovu na madoa
                                        e.kufanya ngozi kuwa nyororo
                                        f.kuondoa harufu na kukausha jasho mwilini
Kuhusu matumizi na maandalizi inategemea ugonjwa unaotaka kuutibu kwa kufuata maelekezo na ushauri wa daktari.
3.LMTM-KF/03-Ni dawa ya kunywa yenye uwezo wa kutibu;
                                         a.kifafa
                                         b.kuchanganyikiwa
                                         c.uvimbe ndani ya ubongo
4.LMTM/ATH/PE8-Ni mchanganyiko wa miti na asali inayotibu;
                                          a.pumu
                                          b.mafua na kikohozi kisichosikia dawa na inayoambatana na harufu ya damu kifuani
                                          c.vichomi na maumivu ya kifua
                                          d.mzio(aleji)
Dawa hii ni ya kulamba na dozi yake hutegemea ugonjwa unaotaka kuutibu kwa kufuata maelekezo ya daktari.
5.LMTM-SUP/ALC.17/012-Inatibu magonjwa yafuatayo;
                                            a.vidonda tumbo sugu
                                            b.magonjwa ya kwenye njia ya chakula
                                            c.moyo kujaa maji
                                            d.misuli kukakamaa
                                            e.kutoa sumu mwilini
                                            f.mifupa kupasua.
Imetengenezwa maalum kwa ajili ya kutibu ugonjwa wa vidonda tumbo na ni ya kunywa.Kuhusu dozi na matumizi hutegemea ugonjwa unaokusumbua kwa kufuata maelekezo ya daktari.
6.LMTM-VIAG/04/MAT-Ni mchanganyiko wa matunda aina nne inayotibu maradhi yafuatayo;
                                           a.kuboresha manii
                                           b.nguvu za kiume
                                           c.kutoa sumu mwilini
                                           d.kulainisha mishipa ya damu na kufanya mzunguko wa damu kuwa mwepesi
                                           e.presha
                                           f.kuamsha hisia za tendo la ndoa(mhemko)
                                           g.kuongeza cd4
                                           h.kupunguza uzito
                                           i.kinga dhidi ya maradhi
7.LMTM/MKS/SUP-Ni dawa inayotibu matatizo mbalimbali kama;
                                           a.huchangamsha na kusafisha mishipa ya fahamu na ubongo(kunusa)
                                           b.kuongeza hisia,ashki na ladha ya tendo la ndoa kwa wanaume na wanawake
                                           c.huongeza matamanio ya tendo la ndoa na joto mwilini
                                           d.huwasaidia wanawake wasio na hisia au hamu ya tendo la ndoa kuwa nayo
                                           e.huwasaidia wanaume wanaowahi wakati wa tendo la ndoa kuchelewa
                                           f.hupunguza majimaji ya sehemu za siri za wanawake na kufanya sehemu hizo        kubana
                                           g.huondoa harufu mbaya sehemu za siri za wanawake hasa baada ya hedhi
Matumizi na matibabu hutegemea matatizo uliyonayo na ni daktari pekee anayetoa maelekezo.
8.LMTM-MN/01-OLTM-Huu ni utomvu utokanao na miti inayotibu;
                                           a.meno
                                           b.fizi na vidonda mdomoni
                                           c.kifua kikuu
                                           d.vidonda visivyopona
                                           e.maumivu ya kifua na kichomi kifuani
Kuhusu matumizi ni kama ilivyo katika maelezo tuliokwisha kutoa hapo juu.
9.LMTM-ORK/ROS-Dawa hii ni ya kupaka na ni mizizi ya mimea na mchanganyiko wa maji maalum inayotibu na kuongeza maumbile ya kiume hatakama ni madogo sana(hurefuka)

Jumatatu, 25 Novemba 2013

MAGONJWA YA ZINAA KATIKA PICHA


                       
                                                                  KASWENDE



MASUNDOSUNDO(GENITAL WARTS)

                                                     
                                                                      HERPS


                                                               
CHANGROID
                                         LYMPHOGRANUROMA VENEREUM