Tafuta katika Blogu Hii

Jumapili, 16 Februari 2014

MISKI NI DAWA MUJARABU KWA WANAOWAHI WAKATI WA TENDO LA NDOA NA MENGINEYO








-Miski ni mfalme wa aina zote za mafuta mazuri na ni matukufu zaidi.Ni mafuta ambayo hupigiwa mfano mzuri kwa kufadhilishwa kuliko mafuta mengine.
SIFA ZA MISKI;
-Miski hali yake ina joto na inauyabisi katika daraja la pili.
-Ina harufu na ladha yake ni tofauti na mafuta mazuri mengine.Ukitaka kutofautisha miski feki na halisi,ni kwamba katika tiba za kimwili miski feki haiwezi kutibu maradhi maduka mengi yanauza miski feki ambazo sio zile zilizokusudiwa kutuka katika tiba.Ikiwa unahaja ya tiba hakikisha umeata miski asilia.

TIBA ZA MISKI;
1.Huchangamsha na kusafisha mishipa ya fahamu na ubongo.
2.Huongeza hisia,ashiki na ladha za tendo la ndoa kwasababu huzidisha matamanio na joto mwilini
3.Huwasaidia wanawake wasiokuwa na ashki(hisia) na ladha wakati wa tendo la ndoa.Tunayo pia dawa ya ziada ya kuongeza nguvu,hisia na hamu yatendo la ndoa kwa wanawake dawa hii ulizia katika kituo chetu cha lmtm herbal centre.
4.Huwasaidia wanaume wanaowahi kumaliza tendo la ndoa kabla ya mke.Namna ya kutumia wasiliana na wataalam wetu  waliopo katika kituo chetu kilichopo ilaa cha lmtm herbal centre.Kwa ziada ya haya tunazo dawa zingine za kuongeza nguvu za kiume ambazo ni za kunywa na za kuchua kwa kuimarisha na kuipa nguvu mishipa ya dhakal.Dawa hii pia ni mujarab kwa kuchelewesha kuwahi kutoa manii haraka
5.Husaidia wanawake waliomaliza siku zao za hedhi kuondoa harufu mbaya.Pia hupunguza umajimaji na harufu mbaya itokayo ukeni
6.Hukazanisha utupu wa mwanamke na kufanya sehemu hiyo kuwa ndogo

NB:Kufahamu namna ya kutumia miski kama dawa kutibu magonjwa yaliyotajwa hapo juu pamoja na wapi pa kupata miski halisi wasiliana na kituo chetu cha lmtm herbal centre kilichopo ilala mchikichini mtaa wa usangu jijini dar es salaam;
    Simu no;+255776217417,
               fax2email+255736601119
              email;lmtmherbal@rocketmail.com
USIACHE KULIKE PAGE YETU YA LMTM HERBAL CENTRE

Maoni 6 :

  1. yanauzwa kiasi gani hayo nafuta ya miski?

    JibuFuta
  2. Yanapatikana wap Shekh hayo mafuta

    JibuFuta
  3. Ninaweza kupata mafuta ya mkunazi?

    JibuFuta
  4. Nilipogundulika kuwa na saratani ya hatua ya 4, nilihisi kukata tamaa kabisa. Madaktari waliniandaa kwa ajili ya hali mbaya zaidi, na nilizidiwa na hofu na kutokuwa na uhakika. Wakati huo mgumu, nilitoa ushuhuda tofauti wa watu, jinsi walivyoponywa kupitia dawa ya mitishamba ya Dr Dawn, na kuwasiliana naye kupitia WhatsApp yake: ( +2349046229159 )

    Aliniahidi kwamba nitakuwa mzima tena ndani ya mwezi 1 baada ya kumuelezea kila kitu, niliagiza dawa ya mitishamba na kufuata maagizo. Leo, ninashukuru sana kwa mahali nilipo. Mungu atukuzwe kwa kunipa nguvu, mwongozo, na uponyaji. Niko huru kabisa na imethibitishwa kimatibabu. Hata mfanyakazi mwenzangu pia aliponywa kupitia dawa ya mitishamba ya Dr DAWN.

    Ikiwa wewe au mtu unayemjua anakabiliwa na ugonjwa mbaya, tafadhali wasiliana na Dr Dawn. Na usipoteze tumaini. Kwa sababu hakika atakuponya

    WhatsApp yake: +2349046229159
    Barua pepe: dawnacuna314@gmail.com

    JibuFuta
  5. HADITHI nyote! Bado sijui maneno sahihi ya kutoa shukrani zangu kwa Dkt. DAWN formula ya mitishamba...niligunduliwa kuwa na virusi vya UKIMWI kwa miaka 3 iliyopita, nilipewa dawa nyingi za kiafya na ushauri bila uboreshaji wowote, nilipoteza tumaini kabisa, hadi nilipopata ushuhuda mwingi wa jinsi mchanganyiko wa mitishamba wa Daktari DAWN umekuwa ukiokoa maisha katika utafiti wa mtandaoni Kama mtu yeyote angefanya, niliwasiliana naye kwenye WhatsApp. Kwa kifupi.

    Nimefurahi kuponywa kabisa na kuwekwa huru kutokana na virusi hivi.., ninamshauri yeyote anayeishi na virusi vya HEmIV awasiliane na daktari Dawn. leo, acha kufikiria kwa sababu ana tiba ya virusi hivi...

    Herpes.
    Saratani.

    VVU/UKIMWI
    Tahajia/mila na MENGINEYO.
    WhatsApp yake: +2349046229159

    JibuFuta