Tafuta katika Blogu Hii

Jumatano, 15 Aprili 2015

ZIJUE TIBA ZA MIMEA INAYOTUZUNGUKA



ALOVERA(LITEMBWE)




Alovera ni mmea wenye uwezo wa kutibu magonjwa mengi kama vile;
1.Malaria
2.Kisukari
3.Saratani
4.Mkanda wa jeshi
5.Vidonda tumbo
6.Baridi yabisi
7.Maumivu ya viungo
8.Homa ya matumbo
9.Mwili kuvimba
10.L/B/P
11.Madhara ya ukiumwa na wadudu
12.Bawasiri
13.Kuinua CD 4
14.Nguvu za kiume
15.Kuchelewa hedhi
16.Kurefusha maisha kwa wale wenye VVU
17.Hamu ya kula
18.Husaidia kuyeyusha chakula
19.Mkojo utokao kwa shida
20.Pumu
21.Ini
22.Figo
23.Ngozi na masikio kutoa usaha

Matayarisho ;Hutegemea aina ya ugonjwa unaotaka kuutibu



TANGAWIZI;
 Tangawizi ijapokuwa ni kiungo katika vyakula pia ni dawa yenye uwezo wa kutibu maradhi mbalimbali yanayomsibu binadamu.Baadhi ya maradhi hayo ni;
1.Tumbo-hutuliza maumivu ya tumbo yanayotokana na matatizo ya usagaji wa chakula
               -kuharisha,kuvimbiwa.(Inapotumiwa katika chakula husaidia usagaji wa chakula na inaleta hamu ya kula)
2.Kichefuchefu na kutapika-Huondoa kichefuchefu
3.Matatizo ya moyo-Huimarisha moyo na kumuepusha mtu maradhi ya moyo
4.Matatizo ya kupumua-Inapunguza kiwango cha mafuta mwilini
   -Huondoa homa ya mafua
   -Hutibu pumu
5.Maumivu-Maumivu ya misuli
                  -Maumivu ya kichwa,shinikizo la damu,mawazo,kizunguzungu na kukosa umakini
6.Maumivu wakati wa hedhi
7.Husaidia kutibu malaria na homa ya manjano
8.Nguvu za kiume na kuboresha manii
9.Vijiwe katika figo
10.Hufaa kutunzia nywele kwani huondoa uyabisi
11.Husaidia katika tiba ya saratani na kuzuia saratani
12.Husaidia kwa wenye kufunga hedhi na kusaidia kutoka


  NAZI;
Nazi ina Vitamin A,B na E
Baadhi ya faida za nazi ni;
a.Huimarisha utumbo
b.Upungufu wa damu
c.Husaidia mapafu
d.Huondoa uchovu wa mishipa pamoja na magonjwa ya mishipa
e.Kuondoa uchovu mwilini
f.Huondoa usahaulifu
g.Huimarisha viungo
h.Homa

MATUMIZI;Jinsi ya kutumia wasiliana na LMTM HERBAL CENTER
MOBL;+255776 217417
fax2email+255736601119
email;lmtmherbal@rocketmail.com

Maoni 5 :

  1. Chapisho hili limeondolewa na msimamizi wa blogu.

    JibuFuta
  2. "Niligunduliwa na saratani ya hatua ya 4 na nikapewa miezi ya kuishi. Kwa kukata tamaa, niligeuka kwa Dk. Dawn, ambaye mpango wake wa matibabu wa ubunifu na usaidizi usio na shaka ulibadilisha kila kitu. Ndani ya wiki, nilihisi kuwa na nguvu zaidi, na baada ya miezi ya huduma yake, uchunguzi wangu haukuonyesha athari ya kansa. Utaalamu na huruma ya Dk. Dawn ilinipa maisha yangu nyuma-nina uthibitisho hai wa kazi yake ya muujiza!"
    Ninapendekeza Dr Dawn kwa mtu yeyote anayepambana na saratani, UKIMWI, herpes na kadhalika, tuma barua pepe, dawnacuna314@gmail.com
    Whatsapp: +2349046229159

    JibuFuta
  3. Nilipogundulika kuwa na saratani ya hatua ya 4, nilihisi kukata tamaa kabisa. Madaktari waliniandaa kwa ajili ya hali mbaya zaidi, na nilizidiwa na hofu na kutokuwa na uhakika. Wakati huo mgumu, nilitoa ushuhuda tofauti wa watu, jinsi walivyoponywa kupitia dawa ya mitishamba ya Dr Dawn, na kuwasiliana naye kupitia WhatsApp yake: ( +2349046229159 )

    Aliniahidi kwamba nitakuwa mzima tena ndani ya mwezi 1 baada ya kumuelezea kila kitu, niliagiza dawa ya mitishamba na kufuata maagizo. Leo, ninashukuru sana kwa mahali nilipo. Mungu atukuzwe kwa kunipa nguvu, mwongozo, na uponyaji. Niko huru kabisa na imethibitishwa kimatibabu. Hata mfanyakazi mwenzangu pia aliponywa kupitia dawa ya mitishamba ya Dr DAWN.

    Ikiwa wewe au mtu unayemjua anakabiliwa na ugonjwa mbaya, tafadhali wasiliana na Dr Dawn. Na usipoteze tumaini. Kwa sababu hakika atakuponya

    WhatsApp yake: +2349046229159
    Barua pepe: dawnacuna314@gmail.com

    JibuFuta